Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 48 - طه - Page - Juz 16
﴿إِنَّا قَدۡ أُوحِيَ إِلَيۡنَآ أَنَّ ٱلۡعَذَابَ عَلَىٰ مَن كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ﴾
[طه: 48]
﴿إنا قد أوحي إلينا أن العذاب على من كذب وتولى﴾ [طه: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mola wako Ametuletea wahyi kwamba adhabu Yake itamshukia aliyekanusha na akaupa mgongo ulinganizi Wake na sheria Yake.’» |