Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 50 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ رَبُّنَا ٱلَّذِيٓ أَعۡطَىٰ كُلَّ شَيۡءٍ خَلۡقَهُۥ ثُمَّ هَدَىٰ ﴾
[طه: 50]
﴿قال ربنا الذي أعطى كل شيء خلقه ثم هدى﴾ [طه: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akamwambia, «Mola wetu ni Yule Ambaye Alikipa kila kitu umbile linalokifaa kulingana na uzuri wa utengezaji Wake kisha akamuongoza kila kiumbe uongofu kamili wa kunufaika kwa kile alichomuumbia Mwenyezi Mungu.» |