Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 51 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ فَمَا بَالُ ٱلۡقُرُونِ ٱلۡأُولَىٰ ﴾
[طه: 51]
﴿قال فما بال القرون الأولى﴾ [طه: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir'awn akasema kumwambia Mūsā kwa njia ya kukosoa na kuteta, «Mambo yalikuwa vipi kwa ummah waliopita? Na ni vipi habari za kame zilizopita, kwani wao wametutangulia katika ukanushaji na ukafiri?» |