Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 78 - طه - Page - Juz 16
﴿فَأَتۡبَعَهُمۡ فِرۡعَوۡنُ بِجُنُودِهِۦ فَغَشِيَهُم مِّنَ ٱلۡيَمِّ مَا غَشِيَهُمۡ ﴾
[طه: 78]
﴿فأتبعهم فرعون بجنوده فغشيهم من اليم ما غشيهم﴾ [طه: 78]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Mūsā alikwenda usiku pamoja na Wana wa Isrāīl akavuka nao kwenye njia ya bahari, hapo Fir'awn pamoja na askari wake wakawafuata, maji yakawafinika, kwa namna ambayo hakuna anayoijua isipokuwa Mwenyezi Mungu, na wote walizama isipokuwa Mūsā na watu wake |