Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 93 - طه - Page - Juz 16
﴿أَلَّا تَتَّبِعَنِۖ أَفَعَصَيۡتَ أَمۡرِي ﴾
[طه: 93]
﴿ألا تتبعن أفعصيت أمري﴾ [طه: 93]
Abdullah Muhammad Abu Bakr usinifuate ukawa na mimi na ukawaacha? Je, umeasi amri yangu niliyokuamrisha kwayo ya kushika mahali pangu na kutengeneza baada ya mimi kuondoka |