×

Namna hivi tunakuhadithia katika khabari za yaliyo tangulia. Na hakika tumekuletea kutoka 20:99 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:99) ayat 99 in Swahili

20:99 Surah Ta-Ha ayat 99 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 99 - طه - Page - Juz 16

﴿كَذَٰلِكَ نَقُصُّ عَلَيۡكَ مِنۡ أَنۢبَآءِ مَا قَدۡ سَبَقَۚ وَقَدۡ ءَاتَيۡنَٰكَ مِن لَّدُنَّا ذِكۡرٗا ﴾
[طه: 99]

Namna hivi tunakuhadithia katika khabari za yaliyo tangulia. Na hakika tumekuletea kutoka kwetu mawaidha ya kukumbukwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كذلك نقص عليك من أنباء ما قد سبق وقد آتيناك من لدنا, باللغة السواحيلية

﴿كذلك نقص عليك من أنباء ما قد سبق وقد آتيناك من لدنا﴾ [طه: 99]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kama tulivyokusimulia, ewe Mtume, habari za Mūsā na Fir'awn na watu wao, tunakupa habari za waliokutangulia wewe. Na tumekuletea hii Qur’ani kutoka kwetu iwe ni ukumbusho kwa mwenye kujikumbusha
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek