Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 10 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿لَقَدۡ أَنزَلۡنَآ إِلَيۡكُمۡ كِتَٰبٗا فِيهِ ذِكۡرُكُمۡۚ أَفَلَا تَعۡقِلُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 10]
﴿لقد أنـزلنا إليكم كتابا فيه ذكركم أفلا تعقلون﴾ [الأنبيَاء: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa kweli tumekuteremshia hii Qur’ani; ndani yake kuna enzi yenu na utukufu wenu katika ulimwengu na Akhera iwapo mtajikumbusha nayo. Je, hamuyafahamu yale ambayo kwayo niliwatukuza nyinyi juu ya wasiokuwa nyinyi |