×

Na mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao 21:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:11) ayat 11 in Swahili

21:11 Surah Al-Anbiya’ ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 11 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَكَمۡ قَصَمۡنَا مِن قَرۡيَةٖ كَانَتۡ ظَالِمَةٗ وَأَنشَأۡنَا بَعۡدَهَا قَوۡمًا ءَاخَرِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 11]

Na mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao watu wengine

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وكم قصمنا من قرية كانت ظالمة وأنشأنا بعدها قوما آخرين, باللغة السواحيلية

﴿وكم قصمنا من قرية كانت ظالمة وأنشأنا بعدها قوما آخرين﴾ [الأنبيَاء: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kuna miji mingi ambayo watu wake walikuwa madhalimu kwa kukanusha kwao yale ambayo Mitume wao walikuja nayo. Ndipo tukawaangamiza kwa adhabu iliyowamaliza wote, na tukafanya wapatikane watu wengine wasiokuwa wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek