Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 23 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿لَا يُسۡـَٔلُ عَمَّا يَفۡعَلُ وَهُمۡ يُسۡـَٔلُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 23]
﴿لا يسأل عما يفعل وهم يسألون﴾ [الأنبيَاء: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Miongoni mwa dalili za kupwekeka Kwake, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, kwa kuumba na kustahiki kuabudiwa ni kwamba Yeye Haulizwi kuhusu uamuzi Wake kwa viumbe Wake na kwamba viumbe Wake wote ndio wenye kuulizwa kuhusu matendo yao |