×

Lau wangeli kuwamo humo miungu wengine isipo kuwa Mwenyezi Mungu basi bila 21:22 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:22) ayat 22 in Swahili

21:22 Surah Al-Anbiya’ ayat 22 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 22 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿لَوۡ كَانَ فِيهِمَآ ءَالِهَةٌ إِلَّا ٱللَّهُ لَفَسَدَتَاۚ فَسُبۡحَٰنَ ٱللَّهِ رَبِّ ٱلۡعَرۡشِ عَمَّا يَصِفُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 22]

Lau wangeli kuwamo humo miungu wengine isipo kuwa Mwenyezi Mungu basi bila ya shaka hizo mbingu na ardhi zingeli fisidika. Subahana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu, Bwana wa A'rshi (Kiti cha Enzi), na hayo wanayo yazua

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لو كان فيهما آلهة إلا الله لفسدتا فسبحان الله رب العرش عما, باللغة السواحيلية

﴿لو كان فيهما آلهة إلا الله لفسدتا فسبحان الله رب العرش عما﴾ [الأنبيَاء: 22]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Lau mbinguni na ardhini kulikuwa na waungu wasiokuwa Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, wenye kuyaendesha mambo yake, ungaliharibika mpango wake. Basi Mwenyezi Mungu, Bwana wa 'Arsh, Ameepukakana na sifa za upungufu na Ametakasika na kila sifa ambayo wakanushaji makafiri wanamsifu nayo ya urongo, uzushi na kila aibu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek