×

Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu 21:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:25) ayat 25 in Swahili

21:25 Surah Al-Anbiya’ ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 25 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَمَآ أَرۡسَلۡنَا مِن قَبۡلِكَ مِن رَّسُولٍ إِلَّا نُوحِيٓ إِلَيۡهِ أَنَّهُۥ لَآ إِلَٰهَ إِلَّآ أَنَا۠ فَٱعۡبُدُونِ ﴾
[الأنبيَاء: 25]

Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما أرسلنا من قبلك من رسول إلا نوحي إليه أنه لا إله, باللغة السواحيلية

﴿وما أرسلنا من قبلك من رسول إلا نوحي إليه أنه لا إله﴾ [الأنبيَاء: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hatukutumiliza kabla yako, ewe Mtume, mjumbe yoyote isipokuwa tunampatia wahyi kwamba hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu. Basi mtakasieni ibada Yeye Peke Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek