×

Na tukaifanya mbingu kuwa dari iliyo hifadhiwa, lakini wanazipuuza Ishara zake 21:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:32) ayat 32 in Swahili

21:32 Surah Al-Anbiya’ ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 32 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَجَعَلۡنَا ٱلسَّمَآءَ سَقۡفٗا مَّحۡفُوظٗاۖ وَهُمۡ عَنۡ ءَايَٰتِهَا مُعۡرِضُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 32]

Na tukaifanya mbingu kuwa dari iliyo hifadhiwa, lakini wanazipuuza Ishara zake

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجعلنا السماء سقفا محفوظا وهم عن آياتها معرضون, باللغة السواحيلية

﴿وجعلنا السماء سقفا محفوظا وهم عن آياتها معرضون﴾ [الأنبيَاء: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tumeifanya mbingu ni sakafu ya ardhi, haiinuliwi na nguzo, nayo imetunzwa, haianguki wala haipenywi na mashetani. Na makafiri wameghafilika na kupumbaa kutozizingatia alama za mbnguni (Jua, mwezi na nyota) na kutozifikiria
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek