×

Kila nafsi itaonja mauti; na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. 21:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:35) ayat 35 in Swahili

21:35 Surah Al-Anbiya’ ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 35 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿كُلُّ نَفۡسٖ ذَآئِقَةُ ٱلۡمَوۡتِۗ وَنَبۡلُوكُم بِٱلشَّرِّ وَٱلۡخَيۡرِ فِتۡنَةٗۖ وَإِلَيۡنَا تُرۡجَعُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 35]

Kila nafsi itaonja mauti; na tunakujaribuni kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كل نفس ذائقة الموت ونبلوكم بالشر والخير فتنة وإلينا ترجعون, باللغة السواحيلية

﴿كل نفس ذائقة الموت ونبلوكم بالشر والخير فتنة وإلينا ترجعون﴾ [الأنبيَاء: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kila nafsi ni yenye kuonja kifo hapana budi namna utakavyorefuka umri wake duniani. Na kuweko kwake maishani hakukuwa isipokuwa ni mtihani wa majukumu ya maamrisho na makatazo na mabadiliko ya hali, mazuri na mabaya, kisha baada ya hapo kuna kurudi na kurejea kwa Mwenyezi Mungu, Peke Yake, ili kuhesabiwa na kulipwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek