×

Na Mitume walio kabla yako walikwisha dhihakiwa. Kwa hivyo wale walio wafanyia 21:41 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:41) ayat 41 in Swahili

21:41 Surah Al-Anbiya’ ayat 41 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 41 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَلَقَدِ ٱسۡتُهۡزِئَ بِرُسُلٖ مِّن قَبۡلِكَ فَحَاقَ بِٱلَّذِينَ سَخِرُواْ مِنۡهُم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 41]

Na Mitume walio kabla yako walikwisha dhihakiwa. Kwa hivyo wale walio wafanyia maskhara yaliwafika yale waliyo kuwa wakiyafanyia dhihaka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولقد استهزئ برسل من قبلك فحاق بالذين سخروا منهم ما كانوا به, باللغة السواحيلية

﴿ولقد استهزئ برسل من قبلك فحاق بالذين سخروا منهم ما كانوا به﴾ [الأنبيَاء: 41]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mitume kabla yako, ewe Mtume, walifanyiwa shere, ikawafikia wale waliokuwa wakiifanyia shere adhabu ambayo walikiifanyia dhihaka na kejeli
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek