Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 42 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قُلۡ مَن يَكۡلَؤُكُم بِٱلَّيۡلِ وَٱلنَّهَارِ مِنَ ٱلرَّحۡمَٰنِۚ بَلۡ هُمۡ عَن ذِكۡرِ رَبِّهِم مُّعۡرِضُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 42]
﴿قل من يكلؤكم بالليل والنهار من الرحمن بل هم عن ذكر ربهم﴾ [الأنبيَاء: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, kuwaambia hawa wanaoifanyia haraka adhabu, «Hakuna anayewahifadhi na kuwalinda na adhabu ya Mwenyezi Mungu ikiwashukia , usiku wenu au mchana wenu, katika kulala kwenu au kuangaza kwenu?» Bali wao wamepumbaa na wameghafilika na Qur’ani na mawaidha |