Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 48 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَلَقَدۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَىٰ وَهَٰرُونَ ٱلۡفُرۡقَانَ وَضِيَآءٗ وَذِكۡرٗا لِّلۡمُتَّقِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 48]
﴿ولقد آتينا موسى وهارون الفرقان وضياء وذكرا للمتقين﴾ [الأنبيَاء: 48]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika, tulimpa Mūsā na Hārūn hoja na ushindi juu ya maadui wao na pia Kitabu, nacho ni Taurati, ambacho kwacho tumepambanua baina ya ukweli na urongo, na ambacho ni nuru ambayo kwayo wanajioongoza wachamungu wenye kuogopa adhabu ya Mola wao |