Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 75 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَأَدۡخَلۡنَٰهُ فِي رَحۡمَتِنَآۖ إِنَّهُۥ مِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 75]
﴿وأدخلناه في رحمتنا إنه من الصالحين﴾ [الأنبيَاء: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu Akamkamilishia nema, Akamtia ndani ya rehema Yake kwa kumuokoa na kile kilichowafikia watu wake kwa kuwa yeye alikuwa ni miongoni mwa wale wanaofanya matendo ya utiifu Kwake |