×

Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu 21:76 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:76) ayat 76 in Swahili

21:76 Surah Al-Anbiya’ ayat 76 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 76 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَنُوحًا إِذۡ نَادَىٰ مِن قَبۡلُ فَٱسۡتَجَبۡنَا لَهُۥ فَنَجَّيۡنَٰهُ وَأَهۡلَهُۥ مِنَ ٱلۡكَرۡبِ ٱلۡعَظِيمِ ﴾
[الأنبيَاء: 76]

Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ونوحا إذ نادى من قبل فاستجبنا له فنجيناه وأهله من الكرب العظيم, باللغة السواحيلية

﴿ونوحا إذ نادى من قبل فاستجبنا له فنجيناه وأهله من الكرب العظيم﴾ [الأنبيَاء: 76]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mkumbuke Nūḥ, ewe Mtume, alipomuita Mola Wake kabla yako na kabla ya Ibrāhīm na Lūṭ, tukaitika mwito wake na tukamuokoa, yeye na watu wake waliomuamini, na makero makubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek