×

Na tukamfundisha kuunda mavazi ya vita kwa ajili yenu ili yakuhifadhini katika 21:80 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:80) ayat 80 in Swahili

21:80 Surah Al-Anbiya’ ayat 80 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 80 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَعَلَّمۡنَٰهُ صَنۡعَةَ لَبُوسٖ لَّكُمۡ لِتُحۡصِنَكُم مِّنۢ بَأۡسِكُمۡۖ فَهَلۡ أَنتُمۡ شَٰكِرُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 80]

Na tukamfundisha kuunda mavazi ya vita kwa ajili yenu ili yakuhifadhini katika kupigana kwenu. Je! Mtakuwa wenye kushukuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وعلمناه صنعة لبوس لكم لتحصنكم من بأسكم فهل أنتم شاكرون, باللغة السواحيلية

﴿وعلمناه صنعة لبوس لكم لتحصنكم من بأسكم فهل أنتم شاكرون﴾ [الأنبيَاء: 80]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mngu Alimhusu Dāwūd, amani imshukiye, kwa kumfundisha kutengeneza nguo za kivita, akizifanya kwa kutunga vikuku vilivyoshikamana, kurahisisha harka ya mwili, ili kuwakinga wapiganaji wasiathiriwe na silaha wanazopigwa. Je, nyinyi ni wenye kushukuru neema ya Mwenyezi Mungu kwenu kupitia kwa mkono wa mja Wake Dāwūd
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek