×

Kwa hakika huu umma wenu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola 21:92 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:92) ayat 92 in Swahili

21:92 Surah Al-Anbiya’ ayat 92 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 92 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿إِنَّ هَٰذِهِۦٓ أُمَّتُكُمۡ أُمَّةٗ وَٰحِدَةٗ وَأَنَا۠ رَبُّكُمۡ فَٱعۡبُدُونِ ﴾
[الأنبيَاء: 92]

Kwa hakika huu umma wenu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi. Kwa hivyo niabuduni Mimi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن هذه أمتكم أمة واحدة وأنا ربكم فاعبدون, باللغة السواحيلية

﴿إن هذه أمتكم أمة واحدة وأنا ربكم فاعبدون﴾ [الأنبيَاء: 92]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Manabii hawa wote, dini yao ni moja, nayo ni Uislamu. Nao ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu kwa kwa kuwa mtiifu na kumpwekesha Yeye kwa ibada. Na Mwenyezi Mungu, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake, Ndiye Bwana wa viumbe, basi muabuduni, enyi watu, Peke Yake, Asiye na mshirika
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek