Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 93 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿وَتَقَطَّعُوٓاْ أَمۡرَهُم بَيۡنَهُمۡۖ كُلٌّ إِلَيۡنَا رَٰجِعُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 93]
﴿وتقطعوا أمرهم بينهم كل إلينا راجعون﴾ [الأنبيَاء: 93]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini watu walitafautiana juu ya Mitume wao, na wengi wa wafauasi wao katika dini walipambanukana wakawa ni makundi na mapote, wakaabudu viumbe na matamanio. Na wote hao ni wenye kurejea kwetu na ni wenye kuhesabiwa juu ya yale waliyoyafanya |