×

Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na 21:91 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:91) ayat 91 in Swahili

21:91 Surah Al-Anbiya’ ayat 91 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 91 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَٱلَّتِيٓ أَحۡصَنَتۡ فَرۡجَهَا فَنَفَخۡنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلۡنَٰهَا وَٱبۡنَهَآ ءَايَةٗ لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 91]

Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والتي أحصنت فرجها فنفخنا فيها من روحنا وجعلناها وابنها آية للعالمين, باللغة السواحيلية

﴿والتي أحصنت فرجها فنفخنا فيها من روحنا وجعلناها وابنها آية للعالمين﴾ [الأنبيَاء: 91]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na kumbuka, ewe Mtume, kisa cha Maryam binti ya 'Imran aliyeihifadhi tupu yake na haramu na asifanye uzinifu katika maisha yake. Mwenyezi Mungu Akamtuma Jibrili, amani imshukiye, kwake akapuliza katika mfuko wa kanzu yake, na ule mpulizo ukafika kwenye uzao wake, na Mwenyezi Mungu akamuumba Al-Masīḥ 'Īsā, amani imshukie. Hivyo basi akabeba mimba yake bila ya mume, na kwa ajili hiyo akawa , yeye na mwanawe, ni alama ya uweza wa Mwenyezi Mungu na mazingatio kwa viumbe mpaka kusimama Kiyama
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek