Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 38 - الحج - Page - Juz 17
﴿۞ إِنَّ ٱللَّهَ يُدَٰفِعُ عَنِ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْۗ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ كُلَّ خَوَّانٖ كَفُورٍ ﴾
[الحج: 38]
﴿إن الله يدافع عن الذين آمنوا إن الله لا يحب كل خوان﴾ [الحج: 38]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika Mwenyezi Mungu Anawalinda Waumini na uadui wa makafiri na vitimbi vya waovu, kwani Yeye, Aliyeshinda na kutukuka, Hampendi kila mwingi wa hiana wa amana ya Mola wake, mwingi wa kukanusha neem Zake |