×

Na walio kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu ya 22:57 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:57) ayat 57 in Swahili

22:57 Surah Al-hajj ayat 57 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 57 - الحج - Page - Juz 17

﴿وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا فَأُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ عَذَابٞ مُّهِينٞ ﴾
[الحج: 57]

Na walio kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين كفروا وكذبوا بآياتنا فأولئك لهم عذاب مهين, باللغة السواحيلية

﴿والذين كفروا وكذبوا بآياتنا فأولئك لهم عذاب مهين﴾ [الحج: 57]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wale walioukataa upwekwe wa Mwenyezi Mungu, wakawakanusha Mitume Wake na wakazipinga aya za Qur’ani, basi hao watapata adhabu yenye kuwafanya wanyonge na kuwatweza ndani ya moto wa Jahanamu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek