×

Tukawapelekea Mtume miongoni mwao, kuwaambia: Muabuduni Mwenyezi Mungu! Hamna mungu asiye kuwa 23:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:32) ayat 32 in Swahili

23:32 Surah Al-Mu’minun ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 32 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿فَأَرۡسَلۡنَا فِيهِمۡ رَسُولٗا مِّنۡهُمۡ أَنِ ٱعۡبُدُواْ ٱللَّهَ مَا لَكُم مِّنۡ إِلَٰهٍ غَيۡرُهُۥٓۚ أَفَلَا تَتَّقُونَ ﴾
[المؤمنُون: 32]

Tukawapelekea Mtume miongoni mwao, kuwaambia: Muabuduni Mwenyezi Mungu! Hamna mungu asiye kuwa Yeye. Jee, hamwogopi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأرسلنا فيهم رسولا منهم أن اعبدوا الله ما لكم من إله غيره, باللغة السواحيلية

﴿فأرسلنا فيهم رسولا منهم أن اعبدوا الله ما لكم من إله غيره﴾ [المؤمنُون: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Tukampeleka kwao Mtume miongoni mwao, naye ni Hūd, amani imshukiye, akawaambia, «Muabuduni Mwenyezi Mungu, Peke Yake, hamuna muabudiwa kwa haki isipokuwa Yeye. Je, hamuogopi mateso Yake mtakapomuabudu asiyekuwa Yeye?»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek