Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 63 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿بَلۡ قُلُوبُهُمۡ فِي غَمۡرَةٖ مِّنۡ هَٰذَا وَلَهُمۡ أَعۡمَٰلٞ مِّن دُونِ ذَٰلِكَ هُمۡ لَهَا عَٰمِلُونَ ﴾
[المؤمنُون: 63]
﴿بل قلوبهم في غمرة من هذا ولهم أعمال من دون ذلك هم﴾ [المؤمنُون: 63]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini nyoyo za makafiri ziko kwenye upotevu uliowafinika, zimejiepusha na Qur’ani na yaliyomo ndani yake. Na wao, pamoja na ushirikina wao, wana matendo mabaya, Mwenyezi Mungu Anawapa muhula wayafanye, ili ziwapate wao hasira za Mwenyezi Mungu na mateso Yake |