×

Na hatuilazimishi nafsi ila kwa kadri ya uwezo wake. Na tunacho kitabu 23:62 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:62) ayat 62 in Swahili

23:62 Surah Al-Mu’minun ayat 62 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 62 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿وَلَا نُكَلِّفُ نَفۡسًا إِلَّا وُسۡعَهَاۚ وَلَدَيۡنَا كِتَٰبٞ يَنطِقُ بِٱلۡحَقِّ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ ﴾
[المؤمنُون: 62]

Na hatuilazimishi nafsi ila kwa kadri ya uwezo wake. Na tunacho kitabu kisemacho kweli. Nao hawatadhulumiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولا نكلف نفسا إلا وسعها ولدينا كتاب ينطق بالحق وهم لا يظلمون, باللغة السواحيلية

﴿ولا نكلف نفسا إلا وسعها ولدينا كتاب ينطق بالحق وهم لا يظلمون﴾ [المؤمنُون: 62]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hatumlazimishi mja yoyote miongoni mwa waja wetu isipokuwa kile kinachomkunjukia kukifanya, na matendo yao yamesajiliwa kwetu ndani ya Kitabu cha kudhibiti matendo, ambacho Malaika watakiinua, kitakachosema ukweli juu yao, na hakuna yoyote kati yao Atakayedhulumiwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek