×

Tuliahidiwa haya sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa haya ila ni visa 23:83 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:83) ayat 83 in Swahili

23:83 Surah Al-Mu’minun ayat 83 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 83 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿لَقَدۡ وُعِدۡنَا نَحۡنُ وَءَابَآؤُنَا هَٰذَا مِن قَبۡلُ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّآ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ﴾
[المؤمنُون: 83]

Tuliahidiwa haya sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa haya ila ni visa vya uwongo vya watu wa zamani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: لقد وعدنا نحن وآباؤنا هذا من قبل إن هذا إلا أساطير الأولين, باللغة السواحيلية

﴿لقد وعدنا نحن وآباؤنا هذا من قبل إن هذا إلا أساطير الأولين﴾ [المؤمنُون: 83]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yameshasemwa maneno haya kuambiwa wazee wetu kitambo, kama vile unavyotuambia, ewe Muhammad, hatukuyaona kuwa yana uhakika. Hayakuwa haya isipokuwa ni porojo za watu wa kale
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek