Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 94 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿رَبِّ فَلَا تَجۡعَلۡنِي فِي ٱلۡقَوۡمِ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[المؤمنُون: 94]
﴿رب فلا تجعلني في القوم الظالمين﴾ [المؤمنُون: 94]
Abdullah Muhammad Abu Bakr basi usiniangamize kwa ile uliyowaangamiza nayo. Na uniokoe na adhabu yako na hasira zako. Usiniweke pamoja na watu washirikina na madhalimu. Bali niingize kwa wale uliokuwa radhi nao.» |