Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 17 - النور - Page - Juz 18
﴿يَعِظُكُمُ ٱللَّهُ أَن تَعُودُواْ لِمِثۡلِهِۦٓ أَبَدًا إِن كُنتُم مُّؤۡمِنِينَ ﴾
[النور: 17]
﴿يعظكم الله أن تعودوا لمثله أبدا إن كنتم مؤمنين﴾ [النور: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Anawakumbusha na Anawakataza msirudie kitendo hiki cha kusingizia urongo, iwapo nyinyi ni wenye kumuamini Yeye |