×

Ametukuka aliye teremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu 25:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:1) ayat 1 in Swahili

25:1 Surah Al-Furqan ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 1 - الفُرقَان - Page - Juz 18

﴿تَبَارَكَ ٱلَّذِي نَزَّلَ ٱلۡفُرۡقَانَ عَلَىٰ عَبۡدِهِۦ لِيَكُونَ لِلۡعَٰلَمِينَ نَذِيرًا ﴾
[الفُرقَان: 1]

Ametukuka aliye teremsha Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote

❮ Previous Next ❯

ترجمة: تبارك الذي نـزل الفرقان على عبده ليكون للعالمين نذيرا, باللغة السواحيلية

﴿تبارك الذي نـزل الفرقان على عبده ليكون للعالمين نذيرا﴾ [الفُرقَان: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ni kubwa mno baraka za Mwenyezi Mungu na ni mengi sana mema Yake na ni kamilifu sifa Zake, Aliyetakasika na kutukuka, Ambaye Ameiteremsha Qur’ani, yenye kupambanua baina ya ukweli na ubatilifu, kwa mja Wake Muhammad, rehemea ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, ili awe ni mjumbe kwa binadamu na majini na awe muonyaji wa adhabu ya Mwenyezi Mungu kwao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek