Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 29 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿لَّقَدۡ أَضَلَّنِي عَنِ ٱلذِّكۡرِ بَعۡدَ إِذۡ جَآءَنِيۗ وَكَانَ ٱلشَّيۡطَٰنُ لِلۡإِنسَٰنِ خَذُولٗا ﴾
[الفُرقَان: 29]
﴿لقد أضلني عن الذكر بعد إذ جاءني وكان الشيطان للإنسان خذولا﴾ [الفُرقَان: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Amenipoteza rafiki huyu na kuniepusha na Qur’ani baada ya kunijia» Na Shetani aliyefukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu amekuwa daima ni mwenye kumtupa mwanadamu. Katika aya hizi kuna onyo kwamba rafiki mbaya asifuatwe, kwani yeye huenda akawa ni sababu ya kumtia, yule anayefuatana na yeye, Motoni |