×

Tukawaambia: Nendeni kwa watu walio kanusha Ishara zetu. Basi tukawateketeza kabisa 25:36 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:36) ayat 36 in Swahili

25:36 Surah Al-Furqan ayat 36 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 36 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿فَقُلۡنَا ٱذۡهَبَآ إِلَى ٱلۡقَوۡمِ ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَا فَدَمَّرۡنَٰهُمۡ تَدۡمِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 36]

Tukawaambia: Nendeni kwa watu walio kanusha Ishara zetu. Basi tukawateketeza kabisa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فقلنا اذهبا إلى القوم الذين كذبوا بآياتنا فدمرناهم تدميرا, باللغة السواحيلية

﴿فقلنا اذهبا إلى القوم الذين كذبوا بآياتنا فدمرناهم تدميرا﴾ [الفُرقَان: 36]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
na tukawaambia wao wawili,»Endeni kwa Fir’awn na watu wake waliozikanusha dalili za uola wetu na uungu wetu.» Basi wakawaendea na wakawalingania wamuamini Mwenyezi Mungu, wamtii na wasimshirikishe. Wakawakanusha, na kwa hivyo tukawaangamiza maangamivu makubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek