×

Na tuliwaangamiza kina A'di na Thamudi na watu wa Rass na vizazi 25:38 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:38) ayat 38 in Swahili

25:38 Surah Al-Furqan ayat 38 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 38 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَعَادٗا وَثَمُودَاْ وَأَصۡحَٰبَ ٱلرَّسِّ وَقُرُونَۢا بَيۡنَ ذَٰلِكَ كَثِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 38]

Na tuliwaangamiza kina A'di na Thamudi na watu wa Rass na vizazi vingi vilivyo kuwa kati yao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وعادا وثمود وأصحاب الرس وقرونا بين ذلك كثيرا, باللغة السواحيلية

﴿وعادا وثمود وأصحاب الرس وقرونا بين ذلك كثيرا﴾ [الفُرقَان: 38]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tuliwaangamiza hao ‘Ād, watu wa Hūd, na Thamūd, watu wa Ṣāliḥ, na watu wa Kisimani na watu wengine wengi waliokuwako baina ya watu wa Nūḥ, kina ‘Ād, kina Thamūd na watu wa Rass(hapo kisimani) hakuna awajuao isipokuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek