Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 39 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿وَكُلّٗا ضَرَبۡنَا لَهُ ٱلۡأَمۡثَٰلَۖ وَكُلّٗا تَبَّرۡنَا تَتۡبِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 39]
﴿وكلا ضربنا له الأمثال وكلا تبرنا تتبيرا﴾ [الفُرقَان: 39]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ummah wote hao tuliwabainishia hoja na kuwafafanulia dalili na tukawaondolea nyudhuru (za kutojua). Pamoja na hivyo, hawakuamini, na kwa ajili hiyo tuliwapa maangamivu kwa kuwaadhibu |