Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 56 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿وَمَآ أَرۡسَلۡنَٰكَ إِلَّا مُبَشِّرٗا وَنَذِيرٗا ﴾
[الفُرقَان: 56]
﴿وما أرسلناك إلا مبشرا ونذيرا﴾ [الفُرقَان: 56]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hatukukutumiliza wewe, ewe Mtume, isipokuwa uwe ni mwenye kuwabashiria Waumini Pepo na mwenye kuwaonya makafiri na Moto |