×

Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi 25:73 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:73) ayat 73 in Swahili

25:73 Surah Al-Furqan ayat 73 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 73 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَٱلَّذِينَ إِذَا ذُكِّرُواْ بِـَٔايَٰتِ رَبِّهِمۡ لَمۡ يَخِرُّواْ عَلَيۡهَا صُمّٗا وَعُمۡيَانٗا ﴾
[الفُرقَان: 73]

Na wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi viziwi nazo, na vipofu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين إذا ذكروا بآيات ربهم لم يخروا عليها صما وعميانا, باللغة السواحيلية

﴿والذين إذا ذكروا بآيات ربهم لم يخروا عليها صما وعميانا﴾ [الفُرقَان: 73]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ambao wakipewa mawaidha kwa aya za Qur’ani na dalili za upweke wa Mwenyezi Mungu hawajighafilishi nazo wakawa kama ambao ni viziwi hawakuzisikia na vipofu hawakuziona, lakini nyoyo zao zinazielewa na akili zao zinafunguka kuzikubali, na basi hapo wanajipomosha kwa Mwenyezi Mungu hali ya kusujudu na kutii
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek