×

Na wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, 25:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:72) ayat 72 in Swahili

25:72 Surah Al-Furqan ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 72 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿وَٱلَّذِينَ لَا يَشۡهَدُونَ ٱلزُّورَ وَإِذَا مَرُّواْ بِٱللَّغۡوِ مَرُّواْ كِرَامٗا ﴾
[الفُرقَان: 72]

Na wale ambao hawatoi ushahidi wa uwongo, na pindi wapitapo penye upuuzi, hupita kwa hishima yao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والذين لا يشهدون الزور وإذا مروا باللغو مروا كراما, باللغة السواحيلية

﴿والذين لا يشهدون الزور وإذا مروا باللغو مروا كراما﴾ [الفُرقَان: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ambao hawatoi ushahidi wa urongo wala hawahudhurii vikao vyake, na wapitapo kwa watu wa ubatilifu na ulaghai bila ya kukusudia wanapita hali ya kupa mgongo na kupinga, wanajiepusha nao (huo ubatilifu na ulaghai) na hawauridhii kwa wengine
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek