Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 76 - الفُرقَان - Page - Juz 19
﴿خَٰلِدِينَ فِيهَاۚ حَسُنَتۡ مُسۡتَقَرّٗا وَمُقَامٗا ﴾
[الفُرقَان: 76]
﴿خالدين فيها حسنت مستقرا ومقاما﴾ [الفُرقَان: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr hali ya kukaa milele humo bila ya kufa. Ni nzuri mno hiyo Pepo kuwa ni mahali pa wao kutulia na makao ya wao kukaa, hawatataka kuondoka hapo |