×

Hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta 25:75 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Furqan ⮕ (25:75) ayat 75 in Swahili

25:75 Surah Al-Furqan ayat 75 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 75 - الفُرقَان - Page - Juz 19

﴿أُوْلَٰٓئِكَ يُجۡزَوۡنَ ٱلۡغُرۡفَةَ بِمَا صَبَرُواْ وَيُلَقَّوۡنَ فِيهَا تَحِيَّةٗ وَسَلَٰمًا ﴾
[الفُرقَان: 75]

Hao ndio watakao lipwa makao ya juu kwa kuwa walisubiri, na watakuta humo maamkio na salamu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أولئك يجزون الغرفة بما صبروا ويلقون فيها تحية وسلاما, باللغة السواحيلية

﴿أولئك يجزون الغرفة بما صبروا ويلقون فيها تحية وسلاما﴾ [الفُرقَان: 75]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao waja wa Mwingi wa rehema, waliosifika kwa sifa zilizopita, watalipwa majumba ya Peponi ya juu kabisa, kwa rehema ya Mwenyezi Mungu na kwa sababu ya uvumilivu wao juu ya kufanya matendo ya utiifu, na watalakiwa humo Peponi kwa maamkizi na salamu kutoka kwa Malaika, na watakuta maisha mema na kusalimika na maafa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek