Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 13 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَيَضِيقُ صَدۡرِي وَلَا يَنطَلِقُ لِسَانِي فَأَرۡسِلۡ إِلَىٰ هَٰرُونَ ﴾
[الشعراء: 13]
﴿ويضيق صدري ولا ينطلق لساني فأرسل إلى هارون﴾ [الشعراء: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na moyo wangu ukaingia kero kwa kunikanusha, na ulimi wangu usiwe na ufasaha wa kulingania. Basi mtume Jibrili aende na wahyi kwa ndugu yangu Hārūn, ili anisaidie na aniamini kwa ninayoyasema, na awafafanulie kile ninachowaambia, kwani yeye ana ufasaha zaidi wa matamshi kuliko mimi |