Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 14 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَلَهُمۡ عَلَيَّ ذَنۢبٞ فَأَخَافُ أَن يَقۡتُلُونِ ﴾
[الشعراء: 14]
﴿ولهم علي ذنب فأخاف أن يقتلون﴾ [الشعراء: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watanishika na kosa la kumuua mwanamume wa jamii ya Qibṭī miongoni mwao, na kwa hivyo ninaogopa wasiniue kwa ajili yake.» |