Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 130 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَإِذَا بَطَشۡتُم بَطَشۡتُمۡ جَبَّارِينَ ﴾
[الشعراء: 130]
﴿وإذا بطشتم بطشتم جبارين﴾ [الشعراء: 130]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mnapomshika mtu kwa nguvu na mkamakinika kumuua au kumpiga, basi mnalifanya hilo kwa kutendesha nguvu hali ya kufanya maonevu |