Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 168 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ إِنِّي لِعَمَلِكُم مِّنَ ٱلۡقَالِينَ ﴾
[الشعراء: 168]
﴿قال إني لعملكم من القالين﴾ [الشعراء: 168]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lūṭ akasema kuwaambia wao, «Mimi ni miongoni mwa wale wanaokichukia sana kitendo chenu mnachokifanya cha kuwajia wanaume.» |