Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 169 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿رَبِّ نَجِّنِي وَأَهۡلِي مِمَّا يَعۡمَلُونَ ﴾
[الشعراء: 169]
﴿رب نجني وأهلي مما يعملون﴾ [الشعراء: 169]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha Lūṭ akamuomba Mola wake, alipokata tamaa kuwa watamsikiliza, alisema, «Mola wangu! Niokoe mimi na uwaokoe jamaa zangu na kile wanachokifanya watu wangu cha uasi huu mchafu na (utuokoe na) adhabu yako itakayowapata.» |