Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 167 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالُواْ لَئِن لَّمۡ تَنتَهِ يَٰلُوطُ لَتَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمُخۡرَجِينَ ﴾
[الشعراء: 167]
﴿قالوا لئن لم تنته يالوط لتكونن من المخرجين﴾ [الشعراء: 167]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wa Lūṭ wakasema, «Usipoacha, ewe Lūṭ, kutukataza kuwajia wanaume na kukichafua kitendo hicho (cha kuwajia wanaume), utakuwa ni miongoni mwa wenye kufukuzwa kutoka miji yetu.» |