×

Na tulimuamrisha Musa kwa wahyi: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. 26:52 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ash-Shu‘ara’ ⮕ (26:52) ayat 52 in Swahili

26:52 Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 52 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 52 - الشعراء - Page - Juz 19

﴿۞ وَأَوۡحَيۡنَآ إِلَىٰ مُوسَىٰٓ أَنۡ أَسۡرِ بِعِبَادِيٓ إِنَّكُم مُّتَّبَعُونَ ﴾
[الشعراء: 52]

Na tulimuamrisha Musa kwa wahyi: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa hakika mtafuatwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأوحينا إلى موسى أن أسر بعبادي إنكم متبعون, باللغة السواحيلية

﴿وأوحينا إلى موسى أن أسر بعبادي إنكم متبعون﴾ [الشعراء: 52]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu Akampelekea wahyi Mūsā, amani imshukie, kwamba, «Enda usiku pamoja na walioamini miongoni mwa Wana wa Isrāīl, ili Fir’awn na askari wake, ambao watawafuata nyinyi, wasije wakawafikia kabla ya kufika kwenu baharini.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek