Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 62 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ كـَلَّآۖ إِنَّ مَعِيَ رَبِّي سَيَهۡدِينِ ﴾
[الشعراء: 62]
﴿قال كلا إن معي ربي سيهدين﴾ [الشعراء: 62]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā alisema kuwaambia, «Sivyo! Mambo si kama mlivyotaja. Hamtafikiwa. Kwa hakika Mwenyezi Mungu Yupo na mimi kwa msaada, Ataniongoza njia ya kuokoka mimi na kuokoka nyinyi.» |