Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 7 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿أَوَلَمۡ يَرَوۡاْ إِلَى ٱلۡأَرۡضِ كَمۡ أَنۢبَتۡنَا فِيهَا مِن كُلِّ زَوۡجٖ كَرِيمٍ ﴾
[الشعراء: 7]
﴿أو لم يروا إلى الأرض كم أنبتنا فيها من كل زوج كريم﴾ [الشعراء: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, wanakanusha na hali wao hawakuiangalia ardhi ambayo ndani yake tumeotesha kila aina nzuri ya mimea ambayo hakuna awezae kuiyotesha isipokuwa Mola wa viumbe vyote |