Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 6 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَقَدۡ كَذَّبُواْ فَسَيَأۡتِيهِمۡ أَنۢبَٰٓؤُاْ مَا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ ﴾
[الشعراء: 6]
﴿فقد كذبوا فسيأتيهم أنباء ما كانوا به يستهزئون﴾ [الشعراء: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika washaikanusha Qur’ani na washaifanyia shere, basi zitawajia wao habari za jambo ambalo walikuwa wakilifanyia shere na dharau, na itawashukia wao adhabu ikiwa ni malipo ya kumuasi Mola wao |